Nimeanza kuangalia Jumba la Dhahabu, itoshe kusema stori ni kali ila ubora wa sauti ni mzozo

Nimeanza kuangalia Jumba la Dhahabu, itoshe kusema stori ni kali ila ubora wa sauti ni mzozo

Cecil J

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
434
Reaction score
1,024
Nimeanza kuangalia Jumba la Dhahabu, itoshe kusema stori ni kali ila ubora wa sauti ni mzozo

Quality ya sauti ni mbaya mno, by the way series ni kali.
 
Winter alikuwa kisu balaha, ila aliyewatengenezea hizi soundtrack zao ukiachana na wimbo uliopo mwanzoni mwa Episode ya kwanza alikuwa muuaji aisee! Sijui katumia synths gani? Anapiga ma arpeggio tu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom