Cecil J JF-Expert Member Joined Oct 12, 2023 Posts 434 Reaction score 1,024 Nov 10, 2024 #1 Nimeanza kuangalia Jumba la Dhahabu, itoshe kusema stori ni kali ila ubora wa sauti ni mzozo Quality ya sauti ni mbaya mno, by the way series ni kali.
Nimeanza kuangalia Jumba la Dhahabu, itoshe kusema stori ni kali ila ubora wa sauti ni mzozo Quality ya sauti ni mbaya mno, by the way series ni kali.
Cecil J JF-Expert Member Joined Oct 12, 2023 Posts 434 Reaction score 1,024 Nov 10, 2024 Thread starter #2 Winter alikuwa kisu balaha, ila aliyewatengenezea hizi soundtrack zao ukiachana na wimbo uliopo mwanzoni mwa Episode ya kwanza alikuwa muuaji aisee! Sijui katumia synths gani? Anapiga ma arpeggio tu 🤣🤣
Winter alikuwa kisu balaha, ila aliyewatengenezea hizi soundtrack zao ukiachana na wimbo uliopo mwanzoni mwa Episode ya kwanza alikuwa muuaji aisee! Sijui katumia synths gani? Anapiga ma arpeggio tu 🤣🤣