Nimeanza kuangalia ligi ya ujerumani. Bundasliga.

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Kwa muda wa kama wiki tatu hivi nimeanza kuangalia ligi kuu ya nchini ujerumani. Game ya tarehe 26 january kati ya Freiburg na Hoffenhaim iliyoisha kwa ushindi wa hoffenhaim kushinda 4-2. Hii game ilikuwa na ufundi wa hali ya juu. Yaani ni full attack, attack, attack.

Jana nikaangalia game kati ya Frankfut na BvB game iliyoisha kwa sare ya 1-1. Kwa kweli vilabu vya ujerumani wanajua mpira japo ligi yao haina promo kama ile ya epl na laliga. Soka linalochezwa ujerumani ni zuri na linaburudisha.

Leo kuna game kati ya Augustburg na Mainz05 hapo saa 11 jioni. Baadae saa 2 usiku game kati ya Sturtgat na Freiburg. Unaweza kuangalia kupitia simu yako ya mkononi kwa kudownlord apps iitwayo Burma kwa free kupitia playstore.

Yaani german ni attack, attack, attack!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nilianza kitambo sana kufuatilia kumbe we ndio unaanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…