Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji

Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji

Saint_Maxi

Member
Joined
Jan 11, 2021
Posts
25
Reaction score
16
Habari za muda huu,

Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa....

Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga haendi sehemu niliomuandalia ila anatanga tanga mpaka nimkate nimuweke sehemu hiyo.

Je, nifanyaje?
 
We endelea kumkamata tu mkuu afu utupe mrejesho
 
Ww unafuga ndege sio mfugo

Alf kuku akitaga hiv muache muda wa kulalia atayachukua yote yy mwenyewe
 
Back
Top Bottom