Saint_Maxi
Member
- Jan 11, 2021
- 25
- 16
We endelea kumkamata tu mkuu afu utupe mrejeshoHabari za muda huu,
Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa....
Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga haendi sehemu niliomuandalia ila anatanga tanga mpaka nimkate nimuweke sehemu hiyo.
Je, nifanyaje?
aisee kumbe ni kijana wa hovyo kaja kuomba ushauri wa nitoke vipiUnaeza ukadhani anazungumziwa kuku mfugo hapa. π
Ni kuku mfugo mkuuaisee kumbe ni kijana wa hovyo kaja kuomba ushauri wa nitoke vipi
Ni mfugo kabisaaa π€£π€£Unaeza ukadhani anazungumziwa kuku mfugo hapa. π
Hii nchi hiii πaisee kumbe ni kijana wa hovyo kaja kuomba ushauri wa nitoke vipi
Sasa atayachukua vipi wakati anatag sehemu tofaut tofautWw unafuga ndege sio mfugo
Alf kuku akitaga hiv muache muda wa kulalia atayachukua yote yy mwenyewe