chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
hiyo alergy mbona huko nyuma sikupata au hujitokeza tuAlergy umepata ungemeza piriton au cetrzine ingekusaidia
Kila cku kuna vikorombwezo vipya masaluni ila ile dye ya kufanya nywele nyeusi ndo uliovuta nakuaminisha n hiyo huwa kali sanahiyo alergy mbona huko nyuma sikupata au hujitokeza tu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia sana mkuu. Mwite mshana jr akuague. Huenda ni hako ka beatle ulienda nako wakaona wivu kwani kana uwezo wa ajabu kuvuka mto bila daraja. Kwetu wanasema' Umepigwa kipapai.
usiniogopeshe mkuuAngalia sana mkuu. Mwite mshana jr akuague. Huenda ni hako ka beatle ulienda nako wakaona wivu kwani kana uwezo wa ajabu kuvuka mto bila daraja. Kwetu wanasema' Umepigwa kipapai.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huipata huko nyuma au sio?? Sasa utaipata tu hukohuko nyuma na wala sio mbelehiyo alergy mbona huko nyuma sikupata au hujitokeza tu
usiniogopeshe mkuu