Nimeanza kula nyumban na familia na naenjoy sana, haya makundi ya pombe zaidi ya mashetani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Alisikika kijana MMOJA
Njau bar pale mbezi beach wakati alipokuwa akila kiti.moto na familia yake

BAADA ya miaka Mingii kijana akitoka kazini anaitana na WALEVI wenzie na wazinzi wenzie wanakaaa bar mpaka saa saba usiku anamka asbh anaenda kazini

Alihama kwa mda Ile bar sasa majuzi KAJA na familia akawafwata wale members WALEVI wenzie akawambia JAMAN kwa sasa nasikia Raha sanasana

Niwaambie tu nikila nyumban HATA afya IMEANZA kubadilikaaa

Sio nilipenda kukesha na nyie kwa kweli n shetani alikuwa ameniingia

NAWAASA hasa sisi wenye familia jotahidini mkitoka kazini mkakae na familia zenuuu

KUshinda bar mpaka usikuu WA manane n KUJAZANA ujinga wapendwa tujuxane ukweli tu ndio maisha yenyewe haya na maisha hayarudi mara mbili

Akaishia
Familia kwanza tukachekaa sana kimoyomoyo NKASEMA kaka umepigwa bomu ikulu ngoja tuanze kuangalia watakaoanxa kubadilika
 
Hamna mlevi wala anayekaa bar katika yako na huyo njau.
Or else nyie wawili wote mnatokeaga mara moja mnataka mnunuliwe vilevi.
Watu wanakunywa na wanaenjoy na miili iko sawa. Mje kijitonyama mjifunze. Kula nyama nyamaza.
 
IMG-20250302-WA0162.jpg
 
Alcohol free since January 1 2024.
 
Kila jambo kwa kiasi, hata kukaa na familia haipaswi kuwa muda wote.
 
Hamna mlevi wala anayekaa bar katika yako na huyo njau.
Or else nyie wawili wote mnatokeaga mara moja mnataka mnunuliwe vilevi.
Watu wanakunywa na wanaenjoy na miili iko sawa. Mje kijitonyama mjifunze. Kula nyama nyamaza.
Binafsi napenda kunywa nyumban mkuu kama mm..nikienda mbali naenda kukaa na watu kwenye mechi za epl kuangalia mpiraa hunikuti bar saa tatuu
 
Pdidy umeamua kutubadilishia mwandiko au nimekufananisha
 
Wake wengine ni shida wakati Niko bachela saa mbili usiku tayari Niko home baada ya kuoa mhh. Saa nne au Tano usiku napo lazima akupe umbea wa kulala nao
 
Back
Top Bottom