Nimeanza kunywa juisi ya mboga za majani Kuna madhara yoyote naweza pata?

Nimeanza kunywa juisi ya mboga za majani Kuna madhara yoyote naweza pata?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu Leo nimean, tengeneza juis inayotokana namboga mboga za majani...yaan kama mchicha na kisamvu nachukua Kisha naweka ktk heavy duty juicer inakamua zile mboga mboga napata kimiminika Kisha nakunywa...nauliza wataalamu wa afya Kuna mahara yoyote naweza pata
 
Mkuu kwani nani alikushauri huo utaratibu?
 
Nakushauri hizo mboga ziwe ulizopanda na kuzikuza kienyeji hapo unapoishi.
 
Back
Top Bottom