ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wadau naanza kuwaza ukienda kununua vitu vilivyokuwa tayari ndani vifungashio tupimiwe tena nimenunua sukari kg 25 yaani nyepesi ata mjukuu wangu anaibeba mafuta lita 20 aisee unainua na kidole gesi hizi za kuletewa nyumbani na pikipiki nazo wiki imeisha yaaani tambi pakti moja njiti mia nimehesabi 82 ebu tujaribu kupima vitu tusibebe bebe tu.