Nimeanza kupata wasiwasi na TMA tangu waanze na tamthilia ya JOBO

Nimeanza kupata wasiwasi na TMA tangu waanze na tamthilia ya JOBO

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Hanari wadau..!
Binafsi nimeanza kupata wasiwasi na TMA juu ya ufanisi wao tangu tamthilia ya kimbunga JOBO ianze.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawa TMA mbona kitambo sana na drama zao.

Pale ukienda vizuri ukawakamata na kuwauliza vizuri wanaweza kuwa hawajawahi hata kuona Stevenson.
 
Hata media za kimataifa waliripoti hii kitu, wametoa tahadhari ya kimbunga kutokana na muelekeo wa upepo mkali kutoka baharini kuja ukanda wetu, tushukuru hakuna madhara na kimbunga kimeishia huko baharini.

Otherwise TMA walikuwa sahihi kutoa tahadhari.
 
Kuna watu ni waajabu sana aise

Ova
 
Hanari wadau..!
Binafsi nimeanza kupata wasiwasi na TMA juu ya ufanisi wao tangu tamthilia ya kimbunga JOBO ianze.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati mwingine Watanzania tupunguze lawama..!! Kama huna unashindwa kutumia akili yako tu ukawaza nje ya box juu ya jambo ili basi wewe ndiyo tatizo sio TMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom