Hata media za kimataifa waliripoti hii kitu, wametoa tahadhari ya kimbunga kutokana na muelekeo wa upepo mkali kutoka baharini kuja ukanda wetu, tushukuru hakuna madhara na kimbunga kimeishia huko baharini.
Otherwise TMA walikuwa sahihi kutoa tahadhari.