Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Umeleta huu uzi kuzoa umaarufua au yamekukuta kweli?

Mazingira ya nyumbani kwako yakoje?

Unamiliki chumba na sebure au nyumba nzima kwa makazi ya familia yako?

Mtoto bado mdogo kwa mujibu wa maelezo yako kapatikana mwaka jana...vipi alienda na mama yake kazini au alimuacha nyumbani na housegirl?

Kama alimuacha nyumbani, ulipataje fursa ya kumgegeda mama mkwe na mbele ya mwanao au hata kama alikuwa amelala?

Jihukumu mwenyewe tu hapo mimi sina haki ya kukuhukumu lakini uzi wako unatia kinyaa
 
mkuu unafaa sana kuwa mtunzi wa riwaya za mapenzi. ukikitumia vizuri kipaji chako utatoka kimaisha.
 
Ushauri usizae watoto na mkeo utaanzisha kizazi chenye laana kwahyo bora ufe na mkosi wako
 
Kwa uzoefu wako baada ya kuwahudumia wote yupi yupo poa kati yao?kingine fanya taratibu za mahari mtaendelea kuzini mpaka lini?
 
Mi nakushauri uende ukajitambulishe kwa wazazi wake ili nae umuoe kabisa
Yaani hiki ndicho nilichotaka kukiandika japo ni thread ya zamani, huyu hana mshipa wa haya kabisa
 
Siku akinasa ndo utajuwa.... na mtoto siiui mkeo atamwita nani...!!
 
umetembea na mama mkwe wako halafu unajisifu. inafika kipindi hata shetani anatushangaa kbsa. pole sana. Mungu akurehemu
 
Ase vijana wa siku hizi noma! Ila wamama nao shida tu!. Bandugu tafuta mjemba safi kwa shughuli kukuzidi wewe lipia kila kitu mlengeshe mama hapo na asisahau arabuni kukoleza mambo mama hatakukubuka tena!
 

Pumbav sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…