Nimeanza maisha ya geto jamani mnipige tafu nisirudi nyumbani

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Kijana mwenzenu nimeona kukaa nyumbani jau nimeamua kuanza maisha getoni mwendo wa ugali dagaa sasa nambeni mniunge mkono kwenye biashara yangu ya nguo na viatu ntawapostia hapo chini ili nisirudi nyumbani jamani
1730274424281.jpg
 
View attachment 3138900
bob umeanza maisha ya Gheto kianasa sana, yaani kuna kiyoyozi kabisa,, mimi nakumbuka hata feni ilikuwa anasa!!
 
Back
Top Bottom