bob umeanza maisha ya Gheto kianasa sana, yaani kuna kiyoyozi kabisa,, mimi nakumbuka hata feni ilikuwa anasa!!Kijana mwenzenu nimeona kukaa nyumbani jau nimeamua kuanza maisha getoni mwendo wa ugali dagaa sasa nambeni mniunge mkono kwenye biashara yangu ya nguo na viatu ntawapostia hapo chini ili nisirudi nyumbani jamani
View attachment 3138900
Hata Mimi nipo Geto,
Unauza nguo na viatu tu au una bidhaa zingine?[emoji23][emoji23][emoji23] amna kaka