Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 633
- 1,256
Habari,
Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia tutafutane. Naogopa maana ni muda mno umepita sana na sasa kudanga ndo habari ya mjini.
Vipi wewe x wako bado unawasiliana naye?