Kuna mmoja ni mlokole kuna siku naenda kwao kumjulia hali nafika usawa wa dirisha lake nasikia maombi, yaani laana aliyokuwa ananiombea mpaka leo sijaelewa nilimkosea nini yule khabith.
Ananiombea mavitu mabaya tupu kwa Mungu wake aisee! Nisifanikiwe, nidhalilike, yaan anatamani anikute sehemu nimepigika kinyama, shida tu nilipita nae wakati aliapa hawezi nivulia nguo mimi ni kama Kaka/sijui best yake/ akanitambulisha mpaka kwa wazazi yake mimi ni kaka yao wa hiyari,
Sasa kuna siku si akanishawishi nkle Kitimoto? Si nikala? Akafurahi sana, yaan mimi u anilisha kitimoto? Nikasema we ngoja. ( ki ukweli nakula kitambo) akajiona kawin, ikafika zamu yake nikamvitisha ganja, nikamfundisha kugida Konyagi, hahah. Akawa mchuga halisi sasa, starehe yake kubwa ni kumpiga mashine daily..sasa siku si nikamkumbusha oya sister ujue mimi ni kakayako wa hiyari sasa kama vipi we pita hivi na mimi vile. Akakubali fresh tu. Ndo siku naonda naskia a natoa shit kibao kwa Mungu