Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

pistmshai

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
1,313
Reaction score
3,683
Muda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.

Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond, yaani yeye ni mume wa mama Diamond.

Niliposoma sikupendezwa na caption alizotumia kumjibu Diamond akiwa anamdharilisha na Mama yake mzazi pia.

Nawashukuru instagram kwa kuwa responsive baada ya mimi kui-report hiyo post ya Dimpoz na kuifuta mara moja.

Nilii-report kuwa : It's inappropiate

Sababu : Harassment or bullying

Muhusika : Celebrity or Public figure

Napenda hii iwe ni operation endelevu kuanzia sasa pale unapoona watu wakivuka mipaka ya kujitambua, hususani hawa wanaoshindwa kuheshimu hata mama zao wazazi. Report tu! Siku hizi hii mitandao ipo very serious kwenye suala zima la kutokomeza ujinga.

Mabifu yenu muyamalize nyie kwa nyie. Mama zenu msiwahusishe kwenye ujinga wenu.
 
DIMPOZ ni SHOSTI WA KIBA...no surprises
 
Dayamond kayataka mwenyewe

Vijana walimpotezea lakini yeye kawaamsha

Sawa tu
 
Mmetaka chai mmepewa mnalalamika mnaungua.
 
Nadhani ulitakiwa uanze Ku report zile verse mbili alizoimbwa Dimpoz kabla ya ku-mreport alicho-post Dimpoz usiwe bias next time.

Hawa watoto wajinga sana......we shabiki unachukia wenzio wanafurahia....hayo ndo maisha yao ya kick.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
nenda na basata kawambie wafute wimbo ule basi tuanzie apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…