Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

Madogo mnazingua sana. Taifa kwasasa tunashughulikia ndege.
 
aya mambo ni makubwa apo mwenye mama yake kama hakuwepo siku ya hiyo picha anafikiria mengi anatamani kumuuliza bi mkubwa ajue ukweli.Sema mkuu wasikusumbue hao vijana ukute kweli jamaa amemkaza au kiki ila waache hayo mambo ya wazaz yanauma
 

Nilii-report kuwa : It's inappropiate



Sababu : Harassment or bullying



Muhusika : Celebrity or Public figure
Safi umefanya jambo jema,sasa zunguka na kwenye mapage ya udaku yalio repost hiyo post nako ukareport ili wafute huo ujinga.

-Ndumilakuwili-
View attachment 573307

Mbona bado ipo? Au wamekutolea wewe tu?
We jamaa Muongo sana. Mbona Post bado ipo.

Angalia saa hapo juu. Nimescreenshot sasa hv saa 16:12

Sent by Samson Cyper
Mzigo bado Upo..
Unataka tu sifa,mbona bado ipo?
Post bado ipo inaendelea kukimbiza muda huuu ina comments 5917

G.Don-Master.
we baba ni muongo kama Dimond
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimecheka kinoma mpaka watu wananishangaa hapa
yaani jamaa amejitutumua kureport akadhani itaondolewa kumbe imeondolewa kwenye account yake peke yake
mleta mada kama post insta imekuudhi ni wewe tu na sio kwamba imevunja terms and condition za instagram ukireport ni lazma wapitie na kujiridhisha kabla ya kuiondoa hiyo post na watawasiliana kwanza na mwenye page kumpa taarifa ya violation of terms na conditions then ndo waifute kama kweli amevunja vigezo na masharti
nb:si furahii mabifu ya wasanii ila nilikuwa namkumbusha tu mleta mada hakuna cha maana alichofanya bora angeenda kucheza biko tu 😀😀😀😀😀😀😀
 
aya mambo ni makubwa apo mwenye mama yake kama hakuwepo siku ya hiyo picha anafikiria mengi anatamani kumuuliza bi mkubwa ajue ukweli.Sema mkuu wasikusumbue hao vijana ukute kweli jamaa amemkaza au kiki ila waache hayo mambo ya wazaz yanauma
Ingekuwa sio kweli Bi sandrah asingekaa kimya na hii ni Mara ya pili ommy ansligusia hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msenge we

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imefutwa saa ngapi mbons nimetoka kuiona 10min ago?
 
Kwani mama yake Diamond ameolewa?kwani diamond anamtaka mama yake alale naye?Ommy Dimpozi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake Diamond Kuna tatizo?Anayependwa na mamako ndiye babaako.
 
Muulize na baadhi ya Wahaya, Waganda na West Africa wote wanaovaa kanzu huwa ni waislamu?
Wahaya na waganda kanzu ni vazi la kimila hata ukienda ukweni unatakiwa uvae kanzu au kwenye sherehe wababa wanavaaga makanzu

blame no body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…