Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

Mama ake mond hajiheahimu kabisa mama jitu zima kila siku kuuza sura insta mara yuko hotel fulan mara yko beach utafikiri naye ni video vixen kina tunda. Badala ukae nyumban kulea wajukuu unakuwa muuza sura tu. Na njaaa ilivokuwa kubwa iv watoto watambandua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team Domo kwa kulia lia, moto muwashe wenyewe ukiripuka mnalia nini, Ommy kawanyosha kisawasawa ugulieni tu.
 
Yaan kaambukizwa na zari kupenda picba muda wotee
 
Wakati diamond anamwambia mwenzake anapumuliwa KISOGONI hukuona kama ni tatizo....at least now mmekuwa kwenye attention. ......ommy matusi yote alikuwa anakaa kimya leo. ....mnamwandama. ..kawakomesha shubati!!!!!!!! Mfundeni mswahili wenu ...Tatizo malezi ya kiswaziiiiii yakutane na ulimbukeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…