themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Nilijisajili kwenye benki kama Tatu hivi nikawa naweka akiba zangu na Benki ndio ilikuwa kimbilio la mwisho ila napo wamevamia, juzi kukaa tu kuchek bank statement nikakuta NMB wamenilima Tozo ya maana yaani pesa ambayo sikutarajia kabisa kukatwa maana kwenye miamala ya sim tayari nishakatwa tozo za kutosha tu
Nilivyoona NMB hali ngumu kwakweli benki nyingine ambayo nilishafanya miamala ya kutosha naona labda walikuwa wanasubiria ufike mwisho wa mwezi ili wakombe tozo ya kuanzia mwezi wa saba hadi wa nane nikaona kwa miamala ile nliyotoa kuanzia mwezi wa saba, tozo itakayokatwa ni disaster.
Nimetoa pesa zangu zote kabla hiyo tozo haijafika, liwalo na liwe pesa ni zangu ila Serikali iwe makini sana na haya matozo kila kona ni swala la muda hzi benki mtaenda kuziuwa, nalipa kodi Tra, kwenye sim mnanikata tozo, lita ya mafuta mmejaza tozo.
Bado tena na pesa zangu nlizoweka akiba nitoe halafu kodi mkate na tozo mchuke? Hapana