Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Nimeamua kuanzisha kijiwe
Kijiwe cha kuzungumzia maisha
Ya watu mtaani kwangu baada
Ya kugundua kumbe mtaani
Kwangu watu wananisema
Vibayaaa.
Sasa nimefungua kijiwe cha
Kahawa na nimeweka matangazo
Mtaani karibuni kijiwe flani
Cha kahawa mje mfahamu
Maisha ya watu na habari za watu
Wa mtaaa huu mtazipata kijiweni
Kwangu yaani kazi ya hichi kijiwe
Ni kuzungumzia maisha ya watu
Katika huu mtaaa
Sasa katika hili sijui Kama watu
Wataendelea kunisemaa maana
Hicho kijiwe changu kinajaa watu
Balaaa mida ya jioni sasa wale
Waliokuwa wakinisema vibaya
Nasikia wengine wamebadilisha
Njiaa wanaogopa kupita karibia
Na kijiwe changu maana kila
Anayepitaa anahisi watu
Wanazungumzia maisha yake
Nimeamua kuanzisha kijiwe
Kijiwe cha kuzungumzia maisha
Ya watu mtaani kwangu baada
Ya kugundua kumbe mtaani
Kwangu watu wananisema
Vibayaaa.
Sasa nimefungua kijiwe cha
Kahawa na nimeweka matangazo
Mtaani karibuni kijiwe flani
Cha kahawa mje mfahamu
Maisha ya watu na habari za watu
Wa mtaaa huu mtazipata kijiweni
Kwangu yaani kazi ya hichi kijiwe
Ni kuzungumzia maisha ya watu
Katika huu mtaaa
Sasa katika hili sijui Kama watu
Wataendelea kunisemaa maana
Hicho kijiwe changu kinajaa watu
Balaaa mida ya jioni sasa wale
Waliokuwa wakinisema vibaya
Nasikia wengine wamebadilisha
Njiaa wanaogopa kupita karibia
Na kijiwe changu maana kila
Anayepitaa anahisi watu
Wanazungumzia maisha yake