Nimeanzisha promotion company and event management, nahitaji connection

kimwelage

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55
Reaction score
21
Ndugu wanajamvi katika kupambana na ujasiriamali nimeanzisha kampuni inayopromote various brands,event management.
kikubwa nahitaji connection ili mwenye ideaz where jobs are aniupdate,ukileta kazi utapewa commision yako.
 
andaa blog yako kwanza, and niwekeze kwemye matangazo na kuanza kufanya hata kazi ndogondogo locals kutoka kwa wadau unaofahamiana nao ili upate pa kusimamia
 
Ndugu wanajamvi katika kupambana na ujasiriamali nimeanzisha kampuni inayopromote various brands,event management.
kikubwa nahitaji connection ili mwenye ideaz where jobs are aniupdate,ukileta kazi utapewa commision yako.

Biashara nzuri sana na nishawahi kufanya kaz kwenye moja ya advertising agency kubwa. So far nachofahamu ktk hii industry ili ipendwe na wateja ni vzr kuwa na office kali ya kibishoo, iliyorembwa vzr sana. Wafanyakaz wacheshi, wenye ushirikiano, wanaofahamu kaz vzr sana. Kwenye mavaz ndo kichekesho, nakumbuka siku ya kwanza nilimuuliza hr manager kuhusu mavaz akanijibu naruhusiwa kuvaa vyovyote navyotaka ILA USIWE MCHAFU TU. Mwanangu jamaa walikua wanapiga pamba watakavyo but decent. Kimsingi kampuni inafanya consultation tu ktk utendaji kampuni in a outsource other companies bidhaa pekee tuliyokua tunazalisha ni matangazo ya radio tu.
Ushauri wangu kama unahakika na kampuni yako itangaze vzr andaa sherehe ndogo tena ofisn kwenu waalike brand managers, boresha tangazo lako humu ndani, kuwa na jina na logo zinazovutia, kuwa na brainstorming na wafanyakazi wako kuhusiana na bidhaa yoyote uone nini wanafikiria alaf boresha then kajaribu kuuza kwa kampuni husika na mengineyo mengi. Naipenda sana hii industry....:flame:
 
Thanks wakuu kwa ushauri wenu,ngoja nifanye baadhi ya mambo then nitawapa feedback.but thanks indeed
 

nimeupenda ushauri wako kaka nadhan utahusika kwangu pia na mmi nina kikampuni changu ndo kina miez mitatu hewani
 

Nyie ndo watu wakutafutwa sasa ila mkuu kwanini hukuanzisha na wewe yako kama unajua yote hayo?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…