Nimeathirika na upigaji wa chabo

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kwema jamani?

Kuna tabia ninayo na naona kabisa imekua kama addiction yangu.kwa kifupi napenda sana kupiga chabo watu wakiwa faragha,yani huwa nafurahia kuwachungulia watu wakiwa wanakulana,majirani zangu wote wsmeshanistukia na wengine wamenipa onyo tayari.

Je naweza kuacha vipi hii tabia wakuu?
 
Hii haina tofauti na kuangalia pornography sasa. Kijana wewe ndio mwenyekiti Wa puli JF maake ww unacheki LIVE
 
Mtaani kuna jamaa yetu alikesha dirishani jwa mtu kapita kapiga chabo mtoto paja jeupee, akiangaliandio mida ya jamaa kurudi(6,6 ya night hiyo mwanangu), akajisemea kwa hali ilivyo jamaa akija hawezi acha mzigo kaganda hapo, mchizi karudi,akajua muda si mrefu kachukua maji kaenda kuoga jamaa yupo tu dirishani, karudi kachukua msosi kala mwana yupo tu dirishani anasubiri mechi ianze, jamaa kamaliza kula, kalala, mchizi anacheki saa 8 na ushehe anajua hapa alfajiri mwamba lazima abinjuke, kaganda anamchungulia mdada ni mlalavi.. Hiyo mpaka kumekucha [emoji23][emoji1787]

Siku anasimuliana maskani na wapiga chabo wenzie nilicheka mnoo.. [emoji23]
 
Zingatia onyo ulilopewa..zingatia mno.. Kabla hujajifunza kuacha kwa njia ngumu na kumbukumbu mbaya
 
Siku anasimuliana maskani na wapiga chabo wenzie nilicheka mnoo.. [emoji23]
 
siku wapiga chabo mnasimuliana ulicheka sana...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mtunukieni nishani ya Uvumilivu na Subira
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mtunukieni nishani ya Uvumilivu na Subira
Huyu ni nuksi, maskani wakianza kupiga stori zao za kiduwanzi, maskani haichoshi ile [emoji23]
 
Njemba Soro.
Mshana Jr
Liverpool VPN

Hamjawahi kukaa maskani, maskani kuna watu wa aina tofauti tofauti.. Kwa pale mtaani vijiwe vikuu ni viwili, kuna banda la soka na pooltable, kuna kuwa na watu tofauti tofauti.. We huna stori za watu wengine nawe tabia hiyo huna!?

Haina haja ya kuelezea saana mnaweza tafsir mnavyoona inawependeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…