Nimebadili Username sasa niko huru

Magari ya kukodisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
412
Reaction score
695
Wakuu mambo vp

Mimi nimefungua akaunti mpya ya jamiiforums kutokana ile ya kwanza kuwa maarufu sana hadi nakosa uhuru.
Hi akaunti ya sasa ni mpya kabisa wala sijulikani naenjoy maisha ya jf
Kuna watu nawachora tu naona raha.

Je ulishwahi kufikiria uamuzi kama wangu
 
Kwa hiyo umekua mtu usiye julikana?
 
Mbona kama sasa ndo unatafiuta umaarufu,maana ungekuwa hutaki huo umaarufu usingekuja kututangazia kuwa umefungua accopunt mpuya,ila hongera sana we jamaa maana ile account ya kwanza nasikia kuna jamaa alitaka akuwekee mtego naona umeuchomoka vizuri sana,
 
Mkuu yaani hata nikitangaza kwasasa mimi ni mtu nisiyejulikana tu
 
Kuna raha sana kubadili IDs, ile nyingine japo haikuwa maarufu kivile ila nilikuwa nimejibrand ki-heshima fulani.... ila kwa hii sitaki kabisa kuwa siriazi na nainjoi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…