Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Sitaki shida na mtu uongo, uongo na kuwanyasasa na kuwasema eti kisa Nina vijisenti naachana nao kuanzia leo naona maisha yangu ya hapa duniani yanaelekea ukingoni so hii ni time ya kumrudia muumba wangu wa mbingu wa na ardhi kwasasa nitakuwa mtu wa kuignore vitu na watu wa hovyo.
Maisha ya dunia ni mafupi si chochote wala si lolote kwa muumba ndiyo kuna ufalme wa milele yaani mtu mbio zote zile mwishowe unaishia Sakafuni yaani unapambana kutafuta mali halafu mwishowe wewe ukifa mali zako zinagombewa na mijitu ambayo haijui hizo mali umezipataje.
Nimekuja kugundua watu ni wanafiki sana katika hii dunia yaani kuna watu wanakuchekea machoni halafu Moroni wanakununia huu ni ujinga wa kiwango cha lami sasa sitaki kuwa tayari kuwa na wanafiki na mtu ni mnafiki akae mbali na mimi.
Maisha ni mafupi sana, tunatembea ili hali muda wowote ule tunakata moto, kwa hakika tumrudie muumba wa mbingu na ardhi..
"Use smoke screen to disguise your actions" Robert green