Nimebadlilisha ID

Hongera sana, hongera na huo uja uzito pia. Miezi mingapi? Kila la heri.
 
Hongera dia,la kwanza halikuwa na upako.teh teh !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hongera ... esperance... tutalizoea tu
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.
Afadhali umebadili maana mimi najua "kibiritingoma" ni mchawi, sasa kila siku nilikuwa najiuliza jf kuna wachawi ?
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.

Nimeipenda sana Avatar yako Esperance!hasa hako katumbo
 
Umevaa gamba la zamani kuleee, ka nakumbuka vile..
 
Badilisha na avatar kabisa ili nikupende zaidi.
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.

Kuna sababu? Au just maamuzi ya kutoka vipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…