Nimebahatika kulala na mama na mtoto wake Kwa wakati tofauti bado wadogo zake

Nahuu mda unaotumia kusoma hizi thread acha fanya mambo ya maana
 
Kuna jamaa alikuwa anapenda mambo haya kwa kiburi ya pesa yaani anakuwa na nyumba ambayo anawapitia kina mama ndugu na watoto wao

Leo ana miaka 70 hajawahi kuoa na hana hata mtoto mmoja wa kusingizia

Nilikuwa namwambia kuwa hatofautiani na mnyama
Na pia namuambia wewe ni mgonjwa na inawezekana umepitia na wadogo zako
 
Tuombe Mungu yasinikute
 
Puuzi sana hili jamaa na thread zake zilivyo inaonekana bado anakula kwa Shemeji yake au linapumuliwa maana sio thread za mwanaume ni za mvulana. Sasa yanatuhusu nini haya aliyoyaandika. Yaani JF ya sasa mtu akitoka chooni atapost, nimetoka kunya na mods wanauachia huo uzi.
 
Wee jamaa ni Msenge saana
 
Kwa kawaida mabandiko yako huwa yanavutia sana kusoma. Ila huu mpango wa safari hii unaashiria kwamba dish linaelekea kuyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…