Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nyimbo zenyewe ni Far Away ft Vee money,Baila na Kosa Langu....Nikiweka ushabiki pembeni asee,huyu bwana mdogo hafai,hafai,hafai....narudia tena Diamond hafai kwenye kupambanishwa na msanii yoyote bongo...hizo ngoma zake ni kali sana zinavuta sana hisia...Ukiskiliza Baila kma umewahi kuumizwa na mambo ya kadha wa kadha unaweza ukalia mana inakurudisha kwenye matukio hayo....
Asante sana Diamond,kwangu mimi A boy from Tandale ni album bora ya kuanzia mwaka 2015-2020..
Note:Hizo ngoma hazijavuja but jamaa kaniskilizisha kwenye PC nikiwa kama mdau wa karibu wake.
Stay tuned for 16th March.
Hajataja mademu zake humo, maana anajulikana kama ZEE LA NGONO hawezi kulala bila DEMU !Nyimbo zenyewe ni Far Away ft Vee money,Baila na Kosa Langu....Nikiweka ushabiki pembeni asee,huyu bwana mdogo hafai,hafai,hafai....narudia tena Diamond hafai kwenye kupambanishwa na msanii yoyote bongo...hizo ngoma zake ni kali sana zinavuta sana hisia...Ukiskiliza Baila kma umewahi kuumizwa na mambo ya kadha wa kadha unaweza ukalia mana inakurudisha kwenye matukio hayo....
Asante sana Diamond,kwangu mimi A boy from Tandale ni album bora ya kuanzia mwaka 2015-2020..
Note:Hizo ngoma hazijavuja but jamaa kaniskilizisha kwenye PC nikiwa kama mdau wa karibu wake.
Stay tuned for 16th March.
eti punguani jama hajataja mademu kataja mziki.Hajataja mademu zake humo, maana anajulikana kama ZEE LA NGONO hawezi kulala bila DEMU !
Hahah! nahisi atapeleka mkia madareHapo ndo ukitoa ushabiki nasubiria ukishabikia hahah