Nimebaini sababu zilizowafanya Yanga waruhusu watu kuingia bure mzunguko vs Mamelodi Sundowns

Mamelod kajaza uwanja lini kwa kiingilio?

We jamaa ni muongo duh!!!
 
Basi kumbe fan base sio kigezo mojawapo cha kushiriki mashindano ya African football league. Mleta uzi basi kachemka Yanga hana sababu ya kumshawishi raisi wa CAF aone washabiki ni wengi ili ipate nafasi ya African football league.
Ndio maana nimemuambia kuwa kujaza uwanja kwa free entrance sio factor ya kufanya uwe host.
 
Ona huyu nae.
 
Sema wanasimba wenzangu tupunguze chuki kwa Yanga, sasa wao kuweka kiingilio bure mzunguko inatukera nini
 
Yanga Day ilikuwa bure?
 
Sema wanasimba wenzangu tupunguze chuki kwa Yanga, sasa wao kuweka kiingilio bure mzunguko inatukera nini
Hiyo fujo yake utakuja kusema humu.
Kama ulienda uwa uwanjani siku alipo walipia Manji usinge furahia kuingia Dezo dezo.
Che Che Che, mnapenda vitu vya Che. Ooh mama wee, yatawashinda.
 
Yanga kusema wanaingiza mashabiki wengi ni kwakuwa.

Mechi za Yanga Simba wanaingia kwa wingi.

Mechi za Simba Yanga wanaingia wachache sana.
 
Punguza wivu we kolo
 
Hizi timu za kariakoo zimewafanya mmekuwa kama mataahira ...hebu ona watu wazima mnabishana kwa vitu vya kitoto kabisa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…