Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
WanaJAMII naomba mnipe hongera,
Leo nimemaliza mafunzo ya kuendesha gari salama salimini, nimejifunza vitu vingi sana, ikiwemo:
Mwl wangu kanambia bado vitu vichache tu, ikiwemo kupiga honi na kurudisha gari nyuma, kasema kupiga honi ni issue ya siku 1 tu, ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!
Ahsante Mwl

- kuingiza na kubadili gear!
- kukanyaga mafuta!
- kunyoosha sterling kufuata bara bara!
- kukata kona
- kuwasha indicators
- kuwasha full