Nimebakiza Kujua Kurudisha Gari Nyuma Tuu

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
WanaJAMII naomba mnipe hongera,

Leo nimemaliza mafunzo ya kuendesha gari salama salimini, nimejifunza vitu vingi sana, ikiwemo:
  1. kuingiza na kubadili gear!
  2. kukanyaga mafuta!
  3. kunyoosha sterling kufuata bara bara!
  4. kukata kona
  5. kuwasha indicators
  6. kuwasha full

Mwl wangu kanambia bado vitu vichache tu, ikiwemo kupiga honi na kurudisha gari nyuma, kasema kupiga honi ni issue ya siku 1 tu, ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!

Ahsante Mwl
 

splendit! hongera kwa kazi nzuri mkuu.
 

I will abandon JF one day!
 
slim5 umetuacha kwenye mataa na Ile story yako
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa katufumba macho, isije ikawa anamaanisha leo ndo kavunja bikira yake, kajifunza mautundu yote isipokua kurudi nyuma (kula tigo)
 

Mwalimu wako mpemba ?
 
Ni gari lipi la nyumbani au la jirani?,hongera kwa kufuzu mafunzo,lakini reverse ina madhara mkuu kwa gari yenyewe na dereva pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…