Nimebanwa sasahivi-Two girls in my Home

Status
Not open for further replies.
kwahiyo akiondoka mmoja huyo mwingine unaoa mazima au?

Aisee wote are almost perfecto.Napata shida kumuumiza mmojawapo,Hapa nilikuwa kwenye final assesment ya yupi wa kuoa
 
nashangaa eti anajisifia wanamsubiri aamue
cheni feki noti bandia kudadalusinde

Sijisifii ndo hali halisi Smile.Ukisema mi machangu ,a BIG No.nawafahamu wote vizuri
 
Waambie unawapenda sana wote na huna ubavu wa kumuacha hata mmoja kwahiyo wao ndio waamue.....kusuka au kunyoa.
 
[
QUOTE=Angel Msoffe;3707023]na leo utakiona cha moto, lazma udundwe na ufungishwe ndoa ya mkeka.[/QUOTE]

Ya wake 2 kwa mpigo
 
nshaapply hii tekiniki kwa gals ving'ang'nizi, jaribu hii mkuu kama wakikubali kutoka nje
 
kama hao ni wanawake kweli hapo huna hata mmoja .ila kama ni vilaza watabaki

Hakuna kitu kizuri kama kukutana na mwanamke aliyemfumania mwenzi wake, alafu unaanza kwa kumfariji kwa matatizo yaliyomkuta, unamuonyesha ni jinsi gani hata wewe umeguswa na tatizo lake.
 
Waambie unawapenda sana wote na huna ubavu wa kumuacha hata mmoja kwahiyo wao ndio waamue.....kusuka au kunyoa.

Afu hicho ndicho nilichokomaa nacho hadi sasa,kwamba siwezi kuamua
 
Sijisifii ndo hali halisi Smile.Ukisema mi machangu ,a BIG No.nawafahamu wote vizuri

Sipati picha umekaaje nao hapo halafu wewe uko busy JF.....ina maana wao wanapiga story zao?walikua wanajuana toka mwanzo?hii kaliii aiseee kama haujatutengeneza lakini.
 
Sipati picha umekaaje nao hapo halafu wewe uko busy JF.....ina maana wao wanapiga story zao?walikua wanajuana toka mwanzo?hii kaliii aiseee kama haujatutengeneza lakini.

We acha tu,manake nimewaambia siwezi kuamua.So,mi niko kimya mmoja yuko busy na kompyuta na mwingine yuko busy na TV.Kila mtu kimya,ila wameweka msimamo nichague mmoja
 
Waambie unawataka wote wawe wake zako.
Kama ni kweli basi huenda ule msemo niliousikia zamani nikiwa teenager kuwa wanawake mwalimu wao kipofu, utakuwa ni kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…