Nimebanwa sasahivi-Two girls in my Home

Status
Not open for further replies.
Kama wanawake wa dizaini hiyo wapo basi una bahati sana sana. Na kama stori hi ni ya kweli basi unapendwa sana, na nina wasi wasi unaweza kuwakosa wote.

Ushauri, endelea kucheza na saikolojia zao km ulivyoanza, may be utawawin.
 
We acha tu,manake nimewaambia siwezi kuamua.So,mi niko kimya mmoja yuko busy na kompyuta na mwingine yuko busy na TV.Kila mtu kimya,ila wameweka msimamo nichague mmoja

Samahani lakini kama nitakukwaza,halafu ndio unasema wife material hao???!!!!hahahaaaa aiseeee hii mpyaaaa......yani wife material ameamua kukaa kabisa kaweka mguu chini asikilizie mwanaume anamchagua yupi kati yake na mwenzake???!!!! Yaani sijipatii picha mimi nimekaa sehemu nasubiri kuchaguliwa kama nyanya sokoni hii inafaa hii haifai hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nafwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

LOVE mkuu,ina mambo mengi,Najua nimekosea,lakini am not an exceptional kwenye hii society.
 

Akirudi atawakuta mlangoni wanamsubiri. Ngoja wamtie adabu kidogo,eti anamhurumi atakayemwacha! Alipokuwa anawapanga hakuwahurumia? 40 ndio imefika bro.
 
Ah! nimezimisi swaga za kule kwetu ushango mabaoni!
manake hapo wanazuoni tunamtafuta al-ustaadh choma choma na sheikh kimzuzu na maustaadh wengine bora bora na mkeka wetu haoo tunawaibukieni hapo mlipo....Tunakupiga mpaka utakubali kuwaoa wote wawili..yani unakuwa ushapata mke mdogo na mke mkubwa bila gharama zako ati! manake maandazi na gahawa twaja navyo...
Twibwili lipo kwako wewe sasa na wakezo wwili tutakaokuacha nao tena legitimate kabisa...
Kama mahakamani kwenye talaka hawajagombania hiyo laptop unayotumia kupostia hii mada(hata kama ni desktop pentium one twende kazi!)
 
Kama wanawake wa dizaini hiyo wapo basi una bahati sana sana. Na kama stori hi ni ya kweli basi unapendwa sana, na nina wasi wasi unaweza kuwakosa wote.

Ushauri, endelea kucheza na saikolojia zao km ulivyoanza, may be utawawin.

Nimewatumia sms wote kwamba nachukua maamuzi ya kuwaacha ili kuepusha shari,ila najua ntarudi kwa yule ambae baada ya kufanya evaluation ntaamua nibaki nae.Mkuu,nimewaweka sawa sana,dada wa kazi anawapikia sasahivi.
 
Hamia nyumba ya kulala wageni, lol! Mchezo wa hatari huo lakini. Usicheze na akili za watu.
 
Akirudi atawakuta mlangoni wanamsubiri. Ngoja wamtie adabu kidogo,eti anamhurumi atakayemwacha! Alipokuwa anawapanga hakuwahurumia? 40 ndio imefika bro.

Mkuu,kuwaacha hapa home sitaki .Mkuu,heri yako wewe hujawahi kuwapanga.
 
Akirudi atawakuta mlangoni wanamsubiri. Ngoja wamtie adabu kidogo,eti anamhurumi atakayemwacha! Alipokuwa anawapanga hakuwahurumia? 40 ndio imefika bro.

Na pengine kuna wengine wengi tu nyuma ya pazia. Kaaaz kweli kweli.
 

Endelea kucheza na saikolojia zao,mpaka waelewane wawe kitu kimoja then wote wakubali kukurusha raha japo kwa leo,kesho bila shaka akili zikiwakaa sawa watakubwaga wote na wewe utasonga maana kiukweli hapo umeshaharibu
 
Pole brother,tafadhali fanya fasta vaa HELMET kichwani....varangati ikianza hapo tusije tukakupoteza..
 
hivi ukiamua unamtaka nani huyo utakaemtaka atakubali kuwa na wewe?

leo siku ya kazi,watu wamekuja asubuhi! Hawana kazi? Waambie mwenye nyumba kaondoka ndo maana umewapanga,ilikuwa njaa tuu!
 
yameshanitokea kama mala 5 hivi
swala hapo unamcheki mdhaifu anayebembelezeka unapiga chini kwa muda alafu una side kwa mlolofi.. Baadae unamwendea mpole unampiga sound siku nzima hadi anaelewa,unaendelea kuwa nao wote..
 
LOVE mkuu,ina mambo mengi,Najua nimekosea,lakini am not an exceptional kwenye hii society.

Sijakuelewa kijana,sijaongelea love hapo kwenye comment niliyoitoa na wala sijasema kama wewe umekosea!!(sijakimbilia kukuhukumu kama ulivyoomba mwenyewe) Wewe umesema wote ni wife material ndio namie nikasema wife material gani hao waliokaa hapo na kusubiri kuchaguliwa kwani wako kwenye mashindano???!!!!????
 

PetCash, Mimi penda hii! Ndo shida ya kuwa na vitoto vya marrygoreth. . yaani na uhakika ukimwuliza kimoja kina 19 kingne 21!. . . Tafuta location yake mkuu ukiwa na ustaadhi Juma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…