Nimebanwa sasahivi-Two girls in my Home

Status
Not open for further replies.

Na mimi nasema kwamba wao kubaki hapa hadi sasahivi kusubiri uamuzi wangu sio kwamba sio wife material.Wanaamini kwamba kila mmoja ananipenda sana ndo maana bado nawapa hadhi hiyo.Kosa litakua langu.Lakini ishu sasa hivi ni kus olve situation at hand.Nakaribia kufanikiwa
 

Leo j3. Wewe na hao wenzako mngepaswa kuwa kwa majukumu yenu! Sasa watu wa3 wote mmejikalisha hapo na kurudisha uchumi wa nchi nyuma! Au shift zenu za usiku?
 
kama hao ni wanawake kweli hapo huna hata mmoja .ila kama ni vilaza watabaki


hahahaaaaaa! we hutujui vidume.......hata huyo uliyenaye ukidhani uko peke yako kalaghabao! ni kwamba hujagundua tu mko wawili au zaidi. Men are good at possessing and finally choosing between/among the many
 
Leo j3. Wewe na hao wenzako mngepaswa kuwa kwa majukumu yenu! Sasa watu wa3 wote mmejikalisha hapo na kurudisha uchumi wa nchi nyuma! Au shift zenu za usiku?

atakuwa ni mfanyakazi wa migodini huyo mkuu. amerudi wiki 2 likizo kuja kula nchi, ndo maana unaona yuko hivyo
 
Acha lawama Mkuu,heri yako wewe huna dhambi ya uzinzi

sijakulaumu wewe mi nimekupa Ushauri! Au uliandika hii thread kuomba nini kama sio ushauri.. Mi nimekwambia acha zinaa.. We unasema mi nakulaumu sa kat ya mimi na wewe nani anamlaumu mwenzake?
 

Ebu futa ulichoandika chote then jaribu tena kuandia meaningful.
 
huna sababu ya kuchagua mmoja katika haop kwani tayari umewaumiza na hawatakuwa na imani na wewe tena
 
Wewe mtoto wa kiume kama umemkubali m1 chukua acha UFISADI.
 

Ooh! u're very lucky, hata J. Zuma yamemtokea hayo hayo.
 
Hivi ni kweli hao wanafahamiana mahusiano uliyonayo kwa kila mmoja wao au labda wapo kimaslahi zaidi???
Jitahidi uwatoe kistaarabu kabla hawajakugeuzia kibao.:A S embarassed:
 
yameshanitokea kama mala 5 hivi
swala hapo unamcheki mdhaifu anayebembelezeka unapiga chini kwa muda alafu una side kwa mlolofi.. Baadae unamwendea mpole unampiga sound siku nzima hadi anaelewa,unaendelea kuwa nao wote..


Faida yake ni nini?

Au ni sifa gani anapata akifanya hivyo? Je unadhani hata km watakuwa nae watamwamini tena? Na je, mmoja wapo akiamua kuwa na wapembeni in future then akagundua atajisikiaje?

Km haitoshi, akawekwa kwenye fungu ili achaguliwe au aachwe atajisikiaje? Au atafurahia?

Ustaarabu ni kitu cha bure, na uaminifu katika mapenzi una thamani na raha yake.
 
Dah umenikumbusha mbali
Maisha ni safari ndefu..Fanya maamuzi ya hekima ..Ila hujatulia weye
 
Mimi huwa naishangaa JF. Kuna watu huwa wanahitaji msaada wa kisheria kwa matatizo mengi yanayowakumba ktk maisha (Refer Jukwaa la Sheria) ila unakuta wiki au hata mwezi unapita no reply hata moja! Halafu wapuuzi kama wewe wakileta upuuzi wao kama huu ndio replies zinafika hata 500! Is this forum a home of great thinkers kweli? Au it is a home of great sinkers?!

Nadhani nimepotea jukwaa, nitachomoka humu kwa speed ya 360km/h! Ama kweli "Waache wafu wazike wafu wao!"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…