Nimebanwa sasahivi-Two girls in my Home

Status
Not open for further replies.
Dah! Haya ndo madhara ya sera za CCM. Watu hawana kazi ni kushinda nyumbani na kufanya uzinzi tuuuuuuu, mchana kweupeee.
 
Nimewatumia sms wote kwamba nachukua maamuzi ya kuwaacha ili kuepusha shari,ila najua ntarudi kwa yule ambae baada ya kufanya evaluation ntaamua nibaki nae.Mkuu,nimewaweka sawa sana,dada wa kazi anawapikia sasahivi.

Hongera sana kwa jitihada zako na nafikiri ingekua jambo la busara kaa hii topic ingefungwa tu kwa sasa maana umeshapata solution.
Nakutakia jioni njema yenye mapenzi na waifu matirio wako.....maana kinachofata hapo baada ya msosi mmhhh :shut-mouth:
 
Ushauri muafaka ninao, lakini nachelea kukupa
kwa sababu machale yananicheza kwamba kabla sijakupa ushauri nilionao, atakua mwanamke wa 3 nae keshakufumania nitalazimika nikuletee ushauri mwingine.
Pole sana.
 
Kama wanawake wa dizaini hiyo wapo basi una bahati sana sana. Na kama stori hi ni ya kweli basi unapendwa sana, na nina wasi wasi unaweza kuwakosa wote.

Ushauri, endelea kucheza na saikolojia zao km ulivyoanza, may be utawawin.
Kwenye red, wanawake wa dizaini hiyo wako kibao karibia 90% ya wanawake, na ndio maana unaweza kuwaoa hadi wanne na nyumba ndogo kadhaa.
 
wote watatu ni machangu kuanzia wewe mwenyewe na madam, Birds of the same feathers fly together. mnajiandaa kwa trisom
 
Done,wakuu sijapatikana kwa muda hapa nilikua natoa hotuba.Nimepiga chini wote,nimewaomba radhi kwamba intention yangu haikua mbaya kua nao wote wawili, Nilikua katika mchujo.Lakini mchujo huo umejichuja wenyewe ,sasa nawaacha wote wawili,Kila mtu aanze afresh.Nimewapa ukweli baada ya kupata Lunch.

Ila,what am sure of ni kwamba kila mmoja baada ya masaa au siku kadhaa watakuja ku apply upya/tena,hatimaye watakuwa kwenye himaya tena.Hili nina uhakika.

Mimi kuwa nyumbani leo ni mipangilio yangu binafsi,kazi zinaendelea,na sasa naenda kazini.
 
wote watatu ni machangu kuanzia wewe mwenyewe na madam, Birds of the same feathers fly together. mnajiandaa kwa trisom

Asante mkuu,nimependa mchango wako
 
Ushauri muafaka ninao, lakini nachelea kukupa
kwa sababu machale yananicheza kwamba kabla sijakupa ushauri nilionao, atakua mwanamke wa 3 nae keshakufumania nitalazimika nikuletee ushauri mwingine.
Pole sana.

Ha ha ha,Mkuu kwa ukweli nilikua nao wawili tuuuuu.Now am single
 
Utakua unahonga sana, vinginevyo haiwezekani wakaendelea kuwa na amani.
 
Hii imetulia
 
Tacaids wana kazi kubwa hao mademu pia inaonesha kila mmoja amewapanga wenzako kama wewe. Wewe unaona unawawili na wao wanakuhesabu katika 20 au 10
 
Uombe mungu wasiwe wanapita humu jf maana watakuelewa na kukufaham uzuri na hapo ndipo nao watatupa story ya upande wa pili!Ila ww kaka ww ipo cku hayo yakurudi na utaujua uchungu na maumivu ya kuchanganywa kimapnz na mtu mwingine!
 
Mkuu gfsonwin, nimekukubali kwa ushauri wako.
Sidhani kama hao mademu wataweza kutoka kwenye hii technique.
Dooh kina dada na kina mama,mna kazi kweli.!
Mimi nawaelewa hao kina dada, humu wanao comment wana option 2.
Huku kwetu Mbagala,Manzese,Tandale and of the sort, ladies wamezidi sana na wengi hawana option 2.
Hata ukiwataka 5 watakutana na kila mtu kama unatoa chips hata kavu bila mayai, watakuganda tu-maana shule na pesa vyote hamna,mtu atakufaje na njaa wakati anaona chakula kilipo, hayo mengine anasema kesho.
lakini mtaka ushauri kwani una wa 2 tu au kuna wengine hawana habari kuwa hao wameisha gongona?
Lakini umesaidia kupunguza upweke wa kina dada,siku hizi midume haitaki kabisa kuwekeza kama unavyofanya wewe-maisha magumu.

 
tatizo wewe huwapendi na wenyewe wanakutumia. kwa mwanamke anaekupenda hawezi kuvumilia upuuzi huo wewe endelea kuwachanya kama wao wanavyokuchanganya itafahamika tu.!
 
Unavuna ulichopanada Inagawa naamini umeamua kuongeza idadi ya post zako tu! Ukikua utaacha!
 
Hili nalo neno,But they are both wife material ,i will loose mazima

sasa kama wote ni wife material ulivyokuwa na wakwanza ukaona anafaa kua mke kwa nini uliongeza wa pili??nyie wanaume cjui mna matatizo gani??
 
Story kama za Shigongo,ila kama ni kweli vaa helmeti kipigo takatifu chaja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…