Wadau,Msaada wa maamuzi tafadhali.
Kwanza msianze kunialaumu ,shauri kwanza,lawama baadae.
Hapa nilipo i have two girls in my place.Both are my girls.Mmoja alikuja asubuhi kwa taarifa nikawa nimekaa nae hapa,Mwingine akawa amekuja kwa kustukiza.Sasa hapa wamenibana kweli.Nimecheza na saikolojia zao hawajagombana hata kidogo,Zaidi na zaidi wanapiga stori ingawa wamefumaniana.Ila nina ultmatum ya kuamua namtaka nani.La sivyo hawaondoki hapa hata siku ngapi zipite.Wameweka msimamo na hawanielewi kabisa.
Naogopa ku side na mmojawapo kwa sababu nafikiria athari kwa mwingine zitakuwa kubwa.Msaada tafadhali wa mawazo