!"nimebugi wakuu"!

jozaa KYLLA

Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Nmekosea wanajamvi msamaha wenu nahitaji (SAM CKIA). Ila hapo kwenye kujua majina yaliyotolewa na chuo (MUHAS) niko serious tafadhal naomben mnijulishe ntayapataje sababu web yao kidogo inanipa shida na nimewauliza wakasema wameshayaweka so anaejua link ya kuyapata plz. nimecomfuse coz mda unaenda afu naona kimya tu. msaada tafadhali. 0
 
Mkuu sijakuelewa fresh matokeo unayotaka ni ya degree au ya diploma..coz kwenye web yao wameweka ya diploma na advance diploma tu..embu funguka vizuri tukuelewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…