Nimebuni pampu ya umwagiliaji isiyotumia mafuta umeme/ Sola

Nimebuni pampu ya umwagiliaji isiyotumia mafuta umeme/ Sola

John makonda

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
263
Reaction score
246
Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini.
 
Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini
Ni hatua muhimu sana tena environment friendly...

Fanyia maboresho kisha tuwekee na bei hapa
 
Hongera mkuu,ila kwa watumiaji ambao hawako karibu na bahari wala ziwani ,matumizi yake itakuaje?
Unasogezewa ziwa au bahari mahali ulipo. Au unagewa bomba reeeeeefu kutoka ulipo mpaka baharini au ziwani.
 
Zama hizi si za kutumia tena miguvu. Kuna gas na sasa kuna bwawa kubwa la nyerere linajengwa huko rufiji. Ni muda wa kutumia nishati ya umeme.
Unataka kuturudisha nyuma miaka 30 iliyopita! Ebooh.

Achana na tafiti za hivyo ndugu, ni kupoteza nguvu ya akili.
 
Unasogezewa ziwa au bahari mahali ulipo. Au unagewa bomba reeeeeefu kutoka ulipo mpaka baharini au ziwani.
Kwa kua nguvu yake hutegemea mawimbi hicho ndicho chanzo chake Cha uwezo ili iweze kufanya kazi Kama uko mbali na ziwa au bahari lazima viingozwe nguvu nyingine kutegemea sehemu ulipo na jiografia ya sehemu ulipo
 
Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini
Hongera mkuu, ila hizi tulitengeneza nyingi sana enzi hizo tukiwa wadogo
 
Zama hizi si za kutumia tena miguvu. Kuna gas na sasa kuna bwawa kubwa la nyerere linajengwa huko rufiji. Ni muda wa kutumia nishati ya umeme.
Unataka kuturudisha nyuma miaka 30 iliyopita! Ebooh.

Achana na tafiti za hivyo ndugu, ni kupoteza nguvu ya akili.
Unaweza kwenda mbele ukiongeza gharama kumbe nyuma umepunguza gharama kumbuka unacho zalisha kitajumjlisha gharama za uendeshaji ndio maana walisema ni vizuri kujua historia ujue Ina kwenda mbele
Hongera mkuu.....ila hizi tulitengeneza nyingi sana enzi hizo tukiwa wadogo
Kama ulitengeneza ukiwa mdogo Kama mchezo jua ilikua na maana ukiwa mkubwa
 
Back
Top Bottom