John makonda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 263
- 246
Ni hatua muhimu sana tena environment friendly...Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini
Unasogezewa ziwa au bahari mahali ulipo. Au unagewa bomba reeeeeefu kutoka ulipo mpaka baharini au ziwani.Hongera mkuu,ila kwa watumiaji ambao hawako karibu na bahari wala ziwani ,matumizi yake itakuaje?
Dah uko serious mkuu?Unasogezewa ziwa au bahari mahali ulipo. Au unagewa bomba reeeeeefu kutoka ulipo mpaka baharini au ziwani.
Technically yeaDah uko serious mkuu?
Kwa kua nguvu yake hutegemea mawimbi hicho ndicho chanzo chake Cha uwezo ili iweze kufanya kazi Kama uko mbali na ziwa au bahari lazima viingozwe nguvu nyingine kutegemea sehemu ulipo na jiografia ya sehemu ulipoUnasogezewa ziwa au bahari mahali ulipo. Au unagewa bomba reeeeeefu kutoka ulipo mpaka baharini au ziwani.
Hongera mkuu, ila hizi tulitengeneza nyingi sana enzi hizo tukiwa wadogoNimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini
Unaweza kwenda mbele ukiongeza gharama kumbe nyuma umepunguza gharama kumbuka unacho zalisha kitajumjlisha gharama za uendeshaji ndio maana walisema ni vizuri kujua historia ujue Ina kwenda mbeleZama hizi si za kutumia tena miguvu. Kuna gas na sasa kuna bwawa kubwa la nyerere linajengwa huko rufiji. Ni muda wa kutumia nishati ya umeme.
Unataka kuturudisha nyuma miaka 30 iliyopita! Ebooh.
Achana na tafiti za hivyo ndugu, ni kupoteza nguvu ya akili.
Kama ulitengeneza ukiwa mdogo Kama mchezo jua ilikua na maana ukiwa mkubwaHongera mkuu.....ila hizi tulitengeneza nyingi sana enzi hizo tukiwa wadogo
Upo wapi Mimi namba yangu 0756045490/0652854019Ni hatua muhimu sana tena environment friendly...
Fanyia maboresho kisha tuwekee na bei hapa