Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu.........

hamic mussa

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
227
Reaction score
20
......ndipo ilipo furaha yangu.
Kuna msichana mmoja kusema ukweli nampenda sana na nshawahi kumwambia ila bado hajanijibu.
Kiukweli nshawahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na rafiki yake wa damu hata uyo msichana alikua anajua,ila baadae tukaachana ndipo nilipoamua kumfuata na kumwambia kuwa nampenda. Na kiukweli nlikua nampenda tangu nikiwa na rafiki yake nd'o maana nkaachana na mwenzake ili nmfuate yeye. Hebu nimbieni hivi atanikubalia kweli? Nshaurini jamani.
 
Muulize yeye kama atakukubalia. Au mwombe rafiki yake uliyemtema akufanyie ukuwadi. Kila la heri.
 
Kabla ya kua na rafiki yake hukua unamfahamu??
 
jamani hlo ni swala la kumuuliza binti muhuska but as for me guilt conscious ingenisumbua.manake if they are friends its possible to fall under allegations, about you
 
Unampeleka gesti. Baada ya raundi tatu akiwa kachoka unamwajiri kazi ya ukuwadi kwa rafikiye. Simple!
Hahahaha!! Wee kibabu banaa ujue mwenzako ana matatizo halafu unaleta habari za gesti
 
Hahahaha!! Wee kibabu banaa ujue mwenzako ana matatizo halafu unaleta habari za gesti

We dogo The Finest umesoma taito ya sredi yake? Ameamua kujipeleka Jela ya malovee? Hiyo siyo njia bora zaidi?
 
Last edited by a moderator:
bac tu ilitokea kwamba baadae nlimchoka rafiki yake kwa tabia yake nkaanza kumpenda yeye.

ningekua mimi siwezi kukubali aisee..
Yani umchoke my best friend then uje kwangu??mimi nitakua na uhakika gani kama na mie hutanichoka as soon as posible??
Mark my words kama ni dada anayejiheshimu hawezi kukubali hiyo dirty game yako!!
No thank you..
 
we mwana ni mharibifu, bado unatamaa za ngono hujielewielewi ...anyway wanaume wengi tupo hivo, mpe masuprise ya kutosha hasa mazawadi ila usigusie sana swala la mapenzi kwake, ukimpa unauchuna as if you dont care, mwenyewe ataileta ila kama na yeye anakufil ofcoz, otherwise chunga asikufilisi, mwanaume lazima uwe flexible
 
kama ni dada anayejiheshimu hawezi kukubali hiyo dirty game yako!!
No thank you..[/QUOTE]

anajiheshimu kweli. So what can i do ili nisimkose.
duh!
 

duh! Ntajtahidi.
 
Kama hana akili atakukubali, kivipi upange watu kama perege. Halafu uko darasa la ngapi vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…