Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu.........

kama ni dada anayejiheshimu hawezi kukubali hiyo dirty game yako!!
No thank you..

anajiheshimu kweli. So what can i do ili nisimkose.
duh![/QUOTE]

wewe unaweza kua na uhusiano wa kimapenzi na ex-girlfriend wa best friend wako?
 
Muulize yeye kama atakukubalia. Au mwombe rafiki yake uliyemtema akufanyie ukuwadi. Kila la heri.

Duh babu[MENTION]Asprin[/MENTION] , Babu gani wewe unatoa ushauri huku umekunja sura..:nerd:
 
Kama ni mwenye kujiheshimu na mstaarabu hatakubali uwachanganye bana
 
Basi kama kwako inategemea kwa mtu mwenye kujitambua na kujiheshimu hawezi kukubali utamaliza maneno yote ndugu!
 
🙂 mambo ya kusubiri upewe majibu kwani umekua mtihani wa form 6 huo? mambo ya kuomba na kusubiri ujibiwe ni mambo ya kizamani nyie mnaishi kwenye dunia gani? haya mambo hayana maswali wala majibu..yanakuja naturally
 
Duh babu[MENTION]Asprin[/MENTION] , Babu gani wewe unatoa ushauri huku umekunja sura..:nerd:

Mbimbinho usinchekeshe bana. Kama unaombwa kitu na mtu aliyeachia ushuhuzi baada ya kula mayai ya kuchemsha, hutaziba pua?
 
Last edited by a moderator:
🙂 mambo ya kusubiri upewe majibu kwani umekua mtihani wa form 6 huo? mambo ya kuomba na kusubiri ujibiwe ni mambo ya kizamani nyie mnaishi kwenye dunia gani? haya mambo hayana maswali wala majibu..yanakuja naturally

hiyo ni kwa malaya nd'o atakujbu hapo hapo. Kwa mtu anaejiheshmu hapana.
 
bac tu ilitokea kwamba baadae nlimchoka rafiki yake kwa tabia yake nkaanza kumpenda yeye.

sasa na huyo ukimpata si utamchoka tu, utatembea na wangapi zama hizi za maradhi. Usikubali kuongozwa na tamaa.
 
sasa na huyo ukimpata si utamchoka tu, utatembea na wangapi zama hizi za maradhi. Usikubali kuongozwa na tamaa.

Sio tamaa nampenda kweli kutoka moyoni. Nateseka sana juu yake mpaka najihurumia.
 
aaaaa wewe jamaaa ,unatisha ,unataka kuchanganya madawa, why why? why ? yaan wanaume wanauma naamin
 
hahaha yaan khamis mussa ,unachekesha ,unasema mpaka unajihurumia ,,wewe msanii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…