Recategorization hamna kitu.[emoji3516]
BADILISHA FANI MKUU ILI UJE UPATE RECATEGORIZATION,
USING'NG'ANIE TU EDUCATION,
HAKUNA PROMOTION YA KUONGEZA ELIMU SIKU HIZI.
Hii kozi uliiomba?au uliombewa?Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kaziniš¤
Mkuu tuliza kipele,kwenye huo uzi nimeomba abc hasa kwa wale walioisoma au ht km hawajaisoma wanauelewa juu ya hiyo koziHii kozi uliiomba?au uliombewa?
Kama uliomba mwenyewe,iweje hujui inahusu nini?
Option 1. Kubadili muundo wa utumishi kutoka kuwa mwl uwe idara ya maendeleo au ustawi wa jamiiNdugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini[emoji847]
Yuko sahihi hajakosea, alimaanisha ungejiiba usomee kitu kingine tofauti kabisa na education ukimaliza ukirudi kazini unaandika barua ya kuomba kubadilishiwa muundo wa utumishi wa umma kufuata hiyo taaluma mpya (recategorization), ila ingekupasa kuwa mjanja kuchagua kozi ambayo itakuwa na fursa nyingi kuliko education..Mkuu mm nimeshaajiriwa tayari,au nimekuelewa tofauti
Punguza maneno ya kejeli kwani hukuvua heshima na uungwana.. tena unakosea kuchukulia jinsia ke (dada) kuwa kama kipimo cha kudhalilisha.. UUNGWANA NI VITENDOBaada ya kukosoa,toa na ushauri,usiwe km mdada anayetaka kuposwa, yaani unaingia na kutoka
By the way hayo ni makosa ya kiuandishi hata wewe ambae umekosoa unaweza pia kukosea
Option 1. Kubadili muundo wa utumishi kutoka kuwa mwl uwe idara ya maendeleo au ustawi wa jamii
Option 2. Kaza sana upate GPA kubwa isishuke 3.8 (hapo iwe kosa kosa kabisa) ili utarget kuwa mkufunzi kwenye vyuo vikuu (hasa kile cha elimu ya watu wazima)
Option 1 ndio ipo highly likely to happen bila
[emoji3516]Yuko sahihi hajakosea, alimaanisha ungejiiba usomee kitu kingine tofauti kabisa na education ukimaliza ukirudi kazini unaandika barua ya kuomba kubadilishiwa muundo wa utumishi wa umma kufuata hiyo taaluma mpya (recategorization), ila ingekupasa kuwa mjanja kuchagua kozi ambayo itakuwa na fursa nyingi kuliko education..
Mimi mwenyewe nimechaguliwa hiyo adult education sema mimi ni adult education and distance learningMkuu kama Haipo Ndani Ya Moyo wako Acha Kupoteza Muda... Soma kitu kinachosisimua Moyo wako Hata kama utaanzia certificate Utashangaa Sana utafika Mbali mno na Itakuwa na Ufanisi Makubwa sana
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kaziniš¤