Kwa sababu wengine tunatoka famila zenye uwezo wa chini.
Hivi kwann wengi wenu mna waza mkopo kwanza kuliko kujali professional unayo taka ku undertake ina faida gani kwenye maisha yako.
Nimechaguliwa IT pale IFM ila sasa nimeamua niikache na kuomba diploma ya clinical officer. Lakini bado mwakani ninataka nijaribu tena kuaaply tena degree ya md au nursing. Sasa swali langu ni je nitaruhusiwa kuomba hyo degree mwakan wakati nimeshaingia diploma au itabidi hadi nimalize hii diploma kwanza ? Vigezo vya kujiunga na chuo kikuu kwa kutumia vyeti vya form six ninavyo ila mwaka huu niliponzwa na uchaguzi wa kozi na vyuo vyenye ushindani mkubwa