Nimechaguliwa kushiriki tuzo za Komla Dumor

Nimechaguliwa kushiriki tuzo za Komla Dumor

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Nimefanikiwa kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za komla dumor za BBC mwaka huu kwa hakika nashukuru sana kwa kila kitu kwani ni kitu ambacho ni ndoto yangu ya siku zote hakika sana

Imekuwa ndoto yangu ya muda wote kwa hakika na hata nisiposhinda ila ndoto yangu kwa hakika imetimia ila na hakika nitashinda tu kwa sababu andiko langu au habari it will make impact in this 🌎 na Afrika mzima naombeni maombi ila hata msiponiombea kwa ya kwangu ni ya kwangu tu.

Mwana kondoo ameshinda"
 
Back
Top Bottom