Hyo BED Psy ni nzur utasoma ualimu wa masomo yako mawili ya kufundisha pamoja na psychology ww una bahat umechaguliwa coz nzur alaf unataka vitu visivyoeleweka course za ualimu ni nzur
Hyo BED Psy ni nzur utasoma ualimu wa masomo yako mawili ya kufundisha pamoja na psychology ww una bahat umechaguliwa coz nzur alaf unataka vitu visivyoeleweka course za ualimu ni nzur
Vijana wa siku hizi,kila kitu mnataka mtafuniwe!!sasa wakati unachagua hukujua Kuna hiyo kozi nyingine Ardhi?hukufanya uchambuzi kujua nini usomee?
Uchaguzi wa kozi ya kusomea,ilibidi uufanye ukiwa kidato Cha pili,Cha tstu,au nne,mpaka unamaliza six,unajua kabisa unaenda kusomea nini Elimu ya juu,