Nimechanganyikiwa na mawazo.

gidy boy

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
39
Reaction score
5
habari za usiku walimu wenzangu,kwanza kabla ya yote napenda kumshuru mungu na serikali kwa ujumla kwa kufanikisha swala la ajira 2014,kinachoniumiza kichwa nimepangwa sehemu ambayo sijawahi hata kuisikia
wilaya ya KAKONKO -KIGOMA anaefahamu anifahamishe hata kwa muhtasari tu.
 
Tangu uzaliwe hujawah kusafiri? kutembea kuona mengi, kuna watu wanaishi nenda KAFANYE KAZI unachanganyikiwa we tahira?
 
ni wilaya mpya , jimbo la muhabwe mbunge wako atakuwa christopher chiza
wilaya hiyo imemegwa kutoka wilaya ya kibondo.

magari ya kwenda marufu sn, salatoga pamoja na adverture,
kwa njia ya kutoka Dar yapo.

hata hivyo nenda kafanye kazi wenzako wamekosa ajira, hasa wahitimu wa st. John
 
Maamuzi unayo wewe,si wilaya iliyochachangamka sana na isitoshe ni wilaya mpya ambayo inakuwa na changamoto nyingi sana ambapo huduma nyingi sana hazipo. Ila kuna msemo usemao "Mchagua Jembe Si Mkulima"
 
ni wilaya nzuri sana ni mpya na ipo km kama 80 kutoka nyakanazi,hakuna njaa pamoja na mvua kuharibu mashamba miezi kadhaa iliyopita,wenyeji wake ni waha na ni watu wazuri ila ni wabishi sana (baadhi sabato).
kuna barrabara inajengwa kutoka kidahwe kuja nyakanazi kama km 300 hivi kwa hiyo mpaka kigoma kutakuwa na lami soon,usiogope kapige kazi.
 
Hiyo ni Halmashauri ya wilaya mpya.Fumba macho nenda upige kazi.Ila kumbuka kua karibu na Mwenyezi Mungu ili yasiche yakakukuta yalomkuta shangazi yangu mwaka 2010.
 

Atakuwa ameelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…