Nimechanganyikiwa naomba msaada

Nimechanganyikiwa naomba msaada

MadamG

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
125
Reaction score
47
Mimi ni mdada nina mda wa mwaka katika uhusiano, lakini baada ya miezi minne ya uhusiano wetu wakati wa tendo huwa natokwa na maji meupe yanapanda adi juu ya uume hayanuki. je ugonjwa gani?
 
hayo ni maji y kawaida tu! labda jamaa ni fundi mno....
 
that's squirting sio ugonjwa na u miongoni mwa wanawake wachache sana ambao huwa wanauwezo wa kusquirt. naamin maji maji hayo huwa yanakutoka pale unapofika kwenye climax sio?? na huwa wakati yanatoka unaskia raha sio??

hongera mwaya usijiharibu kwa madonge ya uzazi yakakauka haya utajuta period
 
Eh haya bana,mambo yenu hayo,ngoja watoke kazini wakupe ma-uzoefu.
 
that's squirting sio ugonjwa na u miongoni mwa wanawake wachache sana ambao huwa wanauwezo wa kusquirt. naamin maji maji hayo huwa yanakutoka pale unapofika kwenye climax sio?? na huwa wakati yanatoka unaskia raha sio??

hongera mwaya usijiharibu kwa madonge ya uzazi yakakauka haya utajuta period

Umechanganya madesa.
 
Mimi ni mdada nina mda wa mwaka katika uhusiano, lakini baada ya miezi minne ya uhusiano wetu wakati wa tendo huwa natokwa na maji meupe yanapanda adi juu ya uume hayanuki. je ugonjwa gani?

Huo ndio utamu mshukuru mungu kumpata mtu anayekusugua mpaka huo ute unatoka wengine wanaulilia.
 
yanapokuwa yanatoka unajisckia nini? raha au utamu? nijuavyo mimi hata mamsap baada ya kuitoa bikira yake tu yalianza kutoka lakini alikua anajickia raha
 
nimesahau wewe una ugumu yaani watoto wa kijiweni wanasema nyege zimejaa kwa maana nyingine ukifanya mara kwa mara utaona yanaisha yenyewe manake ule ugumu wako umeisha .....uje utoe ushuhuda hapa yakiisha sawa...na vile vile huyo jamaa akitulia kwenye kifua chako kama 30 au 20 min ataumaliza huo ila kama ni zile dakika 5 utakuwepo tu labda muwe mna do mara kwa mara
 
Mimi ni mdada nina mda wa mwaka katika uhusiano, lakini baada ya miezi minne ya uhusiano wetu wakati wa tendo huwa natokwa na maji meupe yanapanda adi juu ya uume hayanuki. je ugonjwa gani?

Sio ugonjwa. Wee endelea tu kungonoka na huyo mpenzi wako uliyenaye katika mahusiano kwa mwaka mmoja.
 
ni kawaida mwanamke akiandaliwa vizuri kabla ya tendo la ndoa, wakati wa mchezo anapofika climax hutokwa na majimaji meupe a.k.a hukojoa wala usiwaze!
 
Back
Top Bottom