Smile ndoa ni mpango kamili wa mwenyezi mungu ..lakini sasa watu tunaharibu maana halisi ya ndoa tunachakachua
kesho nitatoa mtazamo wangu ila sasa ..siko powa sana
Mwanzo 2:24
Mungu alisema si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae..