Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
kwa hiyo avune mchicha, akauze soko mjingaa halafu akajinyonge?<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">ukipanda bangi.....unavuna mchicha.........</span></font></font>
Baada ya kumpa mimba ndio umegundua kuwa uwezo wake wa kufikiria bado ni mdogo????Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
kwa hiyo avune mchicha, akauze soko mjingaa halafu akajinyonge?
kwa hiyo avune mchicha, akauze soko mjingaa halafu akajinyonge?
hahahahaaa!hili soko lipo wapi mkuu? umenishtua....
Nani kakuambia mimba hiyo ni yako?Jamani ishu ya kweli acheni utani
ukipanda bangi.....unavuna mchicha.........
hahahahaaa!
Arusha kuna masoko mjingaa!
Muulize preta anayajua!
Sasa si usubiri mtoto azaliwe halafu mengineyo yatafuata kwani tatizo ni nini wakati unachovya what did you expect, wakati unapata raha uliona raha duniani sasa mimba hiyo hapo unataka kuanza kuruka kimanga kijana just face the responsibilities usianze kuleta visingizo sijui ohoo ana uwezo mdogo wa kufikiri mbona wakati unafanya nae mapenzi haukugundua hilo mkiona umembebesha mtu mimba ndio unaanza kuja na visingizio lukuki ili mradi tu uingie mitini.Jamani ishu ya kweli acheni utani