Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Sijambo kabisa TF. Hope nawe u mzima?
Mimi mzima wa afya namshangaa huyu jamaa kuna watu wanatafuta watoto mwaka wa 8 au 10 hawajahi kupata mtoto yeye anatuletea habari za kujinyonga sababu ya mimba yaani kama mtu una fimbo karibu unamchapa masaburi yake
 
Kweli wewe ni strit boy.....kama kweli unampenda huyo binti mwingine ungemfanyia hayo??? utapeli tu...🙁
 
Mimi mzima wa afya namshangaa huyu jamaa kuna watu wanatafuta watoto mwaka wa 8 au 10 hawajahi kupata mtoto yeye anatuletea habari za kujinyonga sababu ya mimba yaani kama mtu una fimbo karibu unamchapa masaburi yake

umeona ee!!...Yaani watu kama hawa wanastahili bakora za uhakika......yaani wanaudhi kweli...!
 
fanya haraka nenda upesi kajinyonge, sasa mbona unachelewa????
 
Hujajinyonga tu? mi nishanunua ndizi kabisa ya kulia ubwabwa wako, masikio nimeyaweka wazi kusubiri taarifa ya kifo hapa pumbaf sana wewe
 
Hujajinyonga tu? mi nishanunua ndizi kabisa ya kulia ubwabwa wako, masikio nimeyaweka wazi kusubiri taarifa ya kifo hapa pumbaf sana wewe

Uwiiiiiiiiiiiii leo stirit ataijua JF ni nini dahh
 
kwa hiyo avune mchicha, akauze soko mjingaa halafu akajinyonge?

Kwenye red lipo IFAKARA -KILOMBERO karibu na Mochwari ya hospitali YA Mt.Francis
 
Sredi kama hili wakongwe kama sisi tukilichangia tunakosa thawabu mbinguni.

Ngoja nihamie jukwaa la Maria Roza nikaongeze ujuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…